Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 331
- 383
Tukija upande wa medical legal kahaba kesi yake haina mashiko sana (alikuwa kama anajihuza).... Hii kauli inakisiwa huyu bidada anajihuza (hakuna ukweli wa jambo kimantiki ukichukua maandishi yanavyosomeka)Hivi "Malaya" anapoteza haki zake kama raia? Kama ndivyo basi wake Kwa tahadhari. Hali Ni mbaya
"Askari" huko Γ lipo anazidi kuhaha tu maana jinamizi la binti bado linawaandama na mpaka hapa naona halitawaacha salama!Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilevile tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
οΏΌ
Theopista, Mwanamke au Mwanaume?Safi kabisa,alitakiwa kutumbuliwa kabisa ,huu ni upuuzi ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-2H0mKtrXj/?igsh=YnB0Z2Rud3hhNDAy
Huyo mwandishi aliemhoji apewe maua yake.ukiwa kiongozi Unapaswa uwe mjanja mjanja sana mwenye kujibu maswali
Kwa hiyo "Malaya" ni wengi kuliko tunavyodhani?Ambaye si malaya nani sasa?
maana yake ni kuwa sote tutapoteza haki tukilinyamazia hili.
Kila mtu, ukiwemo wewe na mimi.Kwa hiyo "Malaya" ni wengi kuliko tunavyodhani?
We "malaya" tuHivi kumbe Mchepuko uko kwenye kundi la Malaya ?
Huyo katabazi alikuwa RPC manyara..Mambo haya sasa katabazi amekula shavu
Waondolewe kwenye utumishi wa umma na kuondolewa vyeo vyoteHawa watu hawafai kuhamishwa inapaswa wachunguzwe na wao
Hatukubali na hiko cheo inabidi akitemeAmebadilishwa kazi tu lakini bado ni Polisi!
Achana na cheo alicho nacho. Being RPC anakua na mamlaka makubwaa katika mkoa husika(kuna kuona onwa ili kulainisha mambo), kuna posho zinazo ambatana na hio nafasi tofauti na ma commissioners walio head office haswa ukute hana kitengo pale HQ....Atasona sana magazeti kusubiria mshaharaKivipi
Lazima unanizidi ππWe "malaya" tu