johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hatimae Ameliacha JIJI MUNGU ni MWEMAMtendaji wa ajabu kweli yule.
Hakudtahili kuendelea kuwa Rpc. Alitakiwa kuwa segerea gerezani kwa matumizi mabaya ya madarakaAmetesa Sana watu huyu Dog Acha aende zake Huko kigoma akalogwe
PGO imekwenda na kuwafikia wana kigoma
Hahahahaaaa... yule jina lake kama sikosei ni Ramadhani Kingai na Jumanne ni bosi wake wa Dar ,Jumanne Muliro...(I stand to be corrected)...PGO imekwenda na kuwafikia wana kigoma
Hatimae Ameliacha JIJI MUNGU ni MWEMA
Dar Hakuna wachawi?Ametesa Sana watu huyu Dog Acha aende zake Huko kigoma akalogwe
Ww ndio ulistahili? Ila nyie watu ni wajinga sanaHakudtahili kuendelea kuwa Rpc. Alitakiwa kuwa segerea gerezani kwa matumizi mabaya ya madaraka
Ikawaje wanashindwa kesi? Au hujui mahakama ilimkuta na hatia gaidi?Rpc wa mchongo, ukimtajia Mtombesya, Kibatala, John Malya lazima ashtuke
Ulitoka Kinondoni unakwenda Makao makuu TaifaniDar Hakuna wachawi?
Kipolisi kutoka kinondoni kwenda huko ni promotion, nakujuza Kama ulikua hujui