Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
CPA ndo ilimtengenezea uharo muda wote PGO ikawa sio kituTena kwakeMlisha mtengeneza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CPA ndo ilimtengenezea uharo muda wote PGO ikawa sio kituTena kwakeMlisha mtengeneza?
Wapi yule aliosema anatamani u igoYaani kwa kuogopa ushindani tayari alisha pelekwa Kigoma!
IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa
RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi