Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
RPC Kilimanjaro
Kuna genge la wahuni wakimiliki wa na wenye bar. Maeneo ya Kisambo Moshi mpaka Mwika
Wezi hawa hutumia pikipiki kuja na kulewa bar huku wakiangalia nani wa enjoy genge hili liko bar za Kisambo mipaka Mwika.
Inapofika saa tano wahuni hawa hutangaza hali ya hatari na hata wanaokutana nao wanaathirika kwa kuibiwa ama kujeruhiwa.
Tunashauri mamlaka husika karibu na maeneo ya Kisambo wakifika saa sita waanze kufuatilia bar zote pls ni hatari sana.
Maeneo haya huuza bangi usiku na mirungi na inavyosemekana hata baadhi ya shirikishi wakifika kuwakamata hupewa pesa kuwaachia waendelee na uhalifu wao.