peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa mantiki hiyo ccm ilitoa ombi kwa Jesho la Polisi?Kisheria Kinana hana mamlaka ya kumuagiza RPC
Kinana alitoa Ombi na siyo agizo....
Jeshi la polisi limeundwa na ccm au limeundwa serikali ya ccm?Hata kama sitopenda trafiki barabarani lakini kauli ilibidi itolewe na serikali. Sio kinana Wala shaka, ccm wajiheshim.
Kinana ana UADILIFU na USAFI kiasi Gani kuwakemea matraffic??Hao jamaa hawako kwa ajili ya kuhakikisha Sheria za Barabarani zunafuatwa,Barabara ni Migodi yao ya kuvuna...
Ndiyo hivyo yaaniK
Kwa mantiki hiyo ccm ilitoa ombi kwa Jesho la Polisi?
Sasa polisi ccm imewaelewa.Ndiyo hivyo yaani
Rejea kauli ya kinana "Namsihi IGP"
Hakusema Namuamuru IGP
Kikodi cha usalama barabarani ni mradi wa wakubwa huko polisi. Kuanzia chini hadi makao makuu ya polisi.Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa...
Hivi kama gari imekamilika trafiki ana kosa cha kukuambia? Au nawe ni mtembea na miguu kama mimi?Wengi wa Madereva wanaolalamika ni wale wasiofuata Sheria na Taratibu zilizowekwa, ukiwa na gari lililokamilika na wewe mwenyewe umekamilika ikiwemo kuendesha gari kwa kufuata Sheria za uendeshaji hakuna trafiki atakayekusumbua.
Taja mji mmoja ambao ajali zimetokea mjini.!! /acha kutetea mambo ya ajabu.Kinana ni mwanasiasa, ni WA kupuuzwa.
Idadi ya AJALI nchini imeongezeka sana Hadi Rais amehoji kwanini...
Ni nchi nzima Mkuu, majuzi tumetoka Mbeya kuja Dar, tumesumbuliwa sana njiani na hasa Mafinga hadi Iringa tumesimamishwa zaidi ya mara 6, shida ni kwamba wanatafuta rushwa for 0 offensesSasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’.
MaRPC wa mikoa ya arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji.
Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka kama nyuki bila kujali maeneo muhimu ya kukaa na kukusanya chao mapema na kurudi makao.
Tuliwapigia RPC Arusha na Kilimanjaro kuwaulizia kuhusu kauli ya Mh. Kinana walijibu kwa nyakati tofauti kuwa wao sio wasemaji wa jeshi la Polisi.
Ombi : Jeshi la polisi litii bila shuruti kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM. Comred Kinana.
Kinana kutetea raia ni hadaa tu, Hana UADILIFU kutetea chochote.Taja mji mmoja ambao ajali zimetokea mjini.!! /acha kutetea mambo ya ajabu.
Kinana hakuongelea magari ya nje ya mji. Bali ali zungumizia mijini. Huko nje ya miji kuna utaratibu wake. Jaribuni kuelewa mtu akiwa ana toa maoni.
Au nawe ni muathirika wa kuto kupata hongo?