RPC Kingai awaonya BAWACHA, Ahoji, unafanya mazoezi ukiwa umevaa fulana zilizoandikwa ''Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi'?

kushikwa pia ni hasara,ndio sababu kuna hatua nyingi sana kabla hujapora uhuru wa mtu kwa kumweka ndani.

lakini pia inawezekana ni biashara inayomlipa vyema ndio maana hajafikiria kuachana nayo.
 
Kwani ni fulana gan zinahitajika kufanyia mazoezi?? Mbona hata CCM kanga wanazopewa wanavaa Vicoba?
Tena huwa wanafanya mazoezi na mabango yaliyoandikwa kuwa 'Machotara hii Nchi ni ya Waafrika".
 
Kwani wao polisi wanasemaje kuhusu katiba iliopo faida nahasara kwa upande wao kama polisi. na kama tutapata katiba mpya faida kwao ni IPI nahasara kwao ni ipi watoe Mawazo yao
 
Na jogging za wanaccm wanazofanya huko mitaani je mbona polisi hawazivamii? Kweli hii ni polisiccm.
 
Kwa ni
Kwa nini wasivae fulana zenye maandishi MAZOEZI NI KWA AFYA YAKO waone kama kuna mtu atawafata kutwa nzima kama lengo ni afya?
 
Na hapa aje abane kipua chake kilichobonyea kama ganda la ndimu. Pumbavu kabisa
 
Kwani t-shirt ya katiba ni dhambi kwa sheria ipi! Mbona watu wanafanya marathoni kwa tshirts za bia!
 
Wakili msomi: Kwani kuna kosa lolote kisheria mtu kuvaa fulana zenye maandishi 'Tunataka katiba mpya' ?

Kamanda Kingai: Sijui, lakini nahisi yanahatarisha amani.

Wakili Msomi:Kama kila nchi na kila taasisi ina katiba yake, sasa unadhani maneno "tunataka katiba mpya" yanalenga nchi ipi au taasisi ipi?

Kamanda Kingai: Sijui, lakini tunahisi yatakuwa yanailenga Tanzania.

Wakili Msomi: Unajua katiba ni mali ya wananchi hivyo wana haki ya kuidai

Kamanda Kingai: Ndio ni mali ya wananchi lakini Rais amekataza watu kuidai.

Wakili Msomi: Kati ya kauli ya Rais na Katiba ya Tanzania kipi kinapaswa kufuatwa kwanza?

Kamanda Kingai: kimyaa.....

Jaji: Kamanda Kingai tafadhali jibu swali

Kamanda Kingai: Mheshimiwa jaji ninajisikia vibaya, nina homa, tumbo la kuharisha na toka jana niko kwenye dawa za malaria!
 
Shida ya Kingai ni kuwa haijui PGO yao !!!

Nashari wamaotaka katiba mpya wavae kijani na kuandika “tunataka katiba mpya”” tuone itakuwaje!!!
 
Hawa kinamama wajanja sana. Kumbe walikuwa wanafanya jogging wakiwa na mabango vifuani😂😂
 
Tz ina watu wa ajabu Sana , Yani mtu kufanya MAZOEZI unampangia na nguo ya kuvaa,
 
Tz ina watu wa ajabu Sana , Yani mtu kufanya MAZOEZI unampangia na nguo ya kuvaa,
Umesahau na wale waumini waliotolewa kwenye nyumba ya ibada kwa sababu ya kuvaa sare au nguo zinazofanana na sare za chama kile kingine.Safari yetu bado ndeeefu saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…