RPC Kingai awaonya BAWACHA, Ahoji, unafanya mazoezi ukiwa umevaa fulana zilizoandikwa ''Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi'?

Anadhani atakuwa RPC hadi kaburini.
Maisha tunapita tenda haki.
Kwa sababu hatakuwa RPC hadi kaburini asitimize wajibu wake, Rais kwa kuwa hatakuwa raisi hadi kaburini, mwalimu, dakitari, nk., waache kutimiza wajibu wao maana kazi zao hawaendi nazo kaburini! This is pathetic! Ndo nyinyi mnataka kuchukua dola! Ebyomwanshonzi!
 
Huyu rpc wenu alibanwa na Kibatala mahakamani mpk akaomba kwenda kukojoa,awaonee hao hao wanawake tu Ila akifika kwa kina Kibatala anashikaga adabu.
 
Umesahau na wale waumini waliotolewa kwenye nyumba ya ibada kwa sababu ya kuvaa sare au nguo zinazofanana na sare za chama kile kingine.Safari yetu bado ndeeefu saana
KWa iyo tunapangia nini Cha kuvaa?
 
Kusoma hujui?
Nimesema "atende haki"
Asifanye uonevu kwa kuwa ana cheo.
 
Moral Authority anaipata wapi huyu muuaji? Mwenyekiti wa vyombo ulinzi na usalama atetee wanajeshi ile dharau sana ....kwa jeshi unawaachia wapuuzikuumiza wananchi wasio hatia kisa madaraka upolisi haiwezekani hivi 92KJ hawana uchungu na mateso hayo na dharau zote hizi ????
 
Anadhani atakuwa RPC hadi kaburini.
Maisha tunapita tenda haki.
Mtu mbaya asisubiriwe mpaka aingie kaburini,uko kaburini kila mtu ataenda awe mwema au mbaya,uyo kamanda anapaswa ashughulikiwe hapa hapa dunia mpaka nzi wamzomee!!ila kumtishia kaburi mtu mpumbavu kama uyo ni ujinga.
Shughuli anapaswa aipate hapa hapa akiwa hai ikibidi shughuli atakayoipata ndio imuingize shimoni akate roho kwa maumivu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…