Yakki Kadaf
Member
- Jan 8, 2023
- 29
- 107
Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu wanaweza kutembea usiku mnene pasipo hofu.
Pongezi pia kwa maafande Amos-kitengo cha cyber, Afande Paschal-upelelezi, Afande Koja ambao ni miongoni mwa maaskari waadilifu wasiotanguliza rushwa kazini na wanasikiliza.
Tatizo lipo kwa askari mmoja aitwae Eli Eli, huyu bwana anamtumia mgambo mmoja aitwae Samwel kwa maslahi binafsi. Huyu mgambo yeye akikamata raia hasa jobless ni bargaining tu vinginevyo atavalishwa pingu tu na kufikishwa kituoni ambapo mchongo wote husimamiwa na Eli Eli.
Kiufupi huyu askari ni money oriented na anachafua sifa ya jeshi. Yaani hata mtuhumiwa akiachiwa kwa dhamana kutoka kituoni ataendelea kumzungukia mtaani kwa kila aina ya vitisho huku akimuomba pesa.
Kwenye hii chain yupo pia askari mmoja wa kiume anayeitwa Zawadi.
Please RPC Mara, OCD Bunda haya siyo majungu fanyeni uchunguzi kuhusu hawa watu mtabaini ukweli wote.