GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Unalewa hovyo, unafanya Ngono Garini wakati Gesti ziko tele na una Kwako, unaendesha hovyo Gari, unafanya kila mbwembwe Mitaani au Barabarani na kufanya Upuuzi wote Siku za Sikukuu mahala pekee ambako utaila vyema hiyo Sikukuu yako ni Jela.
Katika Sheria za Nchi hakuna mahala pameandikwa kuwa Siku za Sikukuu Watu wote wako Huru kufanya watakavyo" amesema RPC wa Dar es Salaam Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia kutoka Radio One ambako Mimi GENTAMYCINE ni Balozi Mkuu wa Kujiteua Kilazima.
Sasa Kazi Kwenu ambao mtajizima Data ( mtajitoa Ufahamu ) leo na ninavyomjua RPC Kamanda Muliro akisema huwa anamaanisha na Sura yake tu ilivyo inakuambia Usifanye Fujo Utaumia Kunakotukuka.