RPC Muroto: Tulizuia Mkutano wa Mbowe ili kumlinda na maambukizi ya COVID-19

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Asanti RPC kwa kumlinda Mbowe na Covid19 inaonekana ulipata taarifa ya kiintelejensia kwamba kwenye mkutano kutakuwa na mtu mwenye covid19 ataenda kumuambukiza mbowe.
 
Hawa polisi NASIKIA KINYAAAAAAAAAA............
 
Kama kujenga makao makuu ya Chadema Dodoma akasemee Bungeni! Halafu yangu lini mkawa na urafiki wa kumlinda Mbowe?
 
Tuna kushukuru Kamanda Muroto kwa kuwaza / kutenda kwa kutumia Nguvu na sio Akili ,Watanzania sio Wajinga tuna kuona.
 
Huyu ni mmoja wa makamanda wa polisi wa nchi hii walio wapumbavu kabisa.
Kuna wakati alikuwa akiwahoji watuhumiwa na kuwarusha live kwenye tv.
Hajijui na hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hawazuia ibada potofu za wachungaji hewa maombi hewa
Mmeona mmeumbuka kwenye social media ndio mnakuja na hadithi za abunuwasi

* Kwenu Chadema tafuteni mbinu nyingine za kufikisha ujumbe kwa wananchi kuna Radio Mbao Radio za kweli si mko na TV online rusheni matamko yenu kwa mtindo otherwise hamtafikia malengo
Tumieni TV Radio Social Media kufikisha ujumbe mbona Lema anafanya?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…