Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni jambo jema.
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa lazima alindwe!
Hao polisi ni sanitizer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo jema.
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa lazima alindwe!
Siku hizi polisi wamekua Antivairasi🤣🤣
Bawacha msipeleke corona dodomyKamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya COVID-19 na kwamba kama alikuwa na jambo basi angeenda kulisemea Bungeni.
Pia soma > Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe