johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lazima katishwa huyo kama ni mwoga kwa nini aliexpose hiyo kitu si angebaki Kimya tu?Kwahy binti anataka kufuta kesi 😂
Unadhani kwanini Chawa ni Wengi?!!Nasikia mijitu mingi ya Chama ChaMambusi iko hivi kama bw. Yahya!
Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examinationKuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri
Jumaa Mubarak 😀
Kama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination
Sasa jinai haipo hivyo, akikuponyoka kwenye kosa ulilomshitakia maana yake mtuhumiwa anaachiwa, maana standard of proof ni beyond reasonable doubt, hatupo pale kujua kama analawitiwa tunatakiwa kuthibitisha kama rc ndio aliyemlawiti shahidi wa kwanza ukishindwa kuthibitisha hilo bila ya shaka yoyote kesi imekufaKama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.
Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
Mzee amefikishwa mahakamani?Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri
Jumaa Mubarak 😀
Kwanini asingiziwe yeye tu?Yahaya kayakanyaga na pisi nayo imeyakanyaga.
Kama mh. Mla kijambio alikua na maadui bila shala nae alikua na silaha za kujihami endapo kitazuka chochote.
Binti zkashtaki bila kufikiri mara mbili, walio nyuma ya mh. Mla kijambio nao wamemchapa mkwara binti. Binti hajui ashike lipi aache lipi na pesa ashakula tayari.
Afute kesi haifutiki alooo hapo ndo unajutia maamuzi na ninge ninge kibao.
Issue ni moja ni mbili tu mahakamani je alilawitiwaYahaya kayakanyaga na pisi nayo imeyakanyaga.
Kama mh. Mla kijambio alikua na maadui bila shala nae alikua na silaha za kujihami endapo kitazuka chochote.
Binti zkashtaki bila kufikiri mara mbili, walio nyuma ya mh. Mla kijambio nao wamemchapa mkwara binti. Binti hajui ashike lipi aache lipi na pesa ashakula tayari.
Afute kesi haifutiki alooo hapo ndo unajutia maamuzi na ninge ninge kibao.
Sijui kwaniniKwanini asingiziwe yeye tu?
Lucas Mwashambwa Jo anakuita huku.Unadhani kwanini Chawa ni Wengi?!!
Kunawadau walisema ni mtotoLazima katishwa huyo kama ni mwoga kwa nini aliexpose hiyo kitu si angebaki Kimya tu?
Akiharibu kesi naye si atakuwa na kesi ya kutoa taarifa za uwongo polisi au pia kosa la kuruhusu kulawitiwa maana kapimwa kakutwa kweli kaingiliwa kinyume cha maumbile, kibao kitamgeukia in either way itakuwa funzo kwa mashahidi wengine wanaonunuliwa na watuhumiwa.Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination