dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
DNA ina-trace history million years back wewe unazungumzia wiki mbili? Dah!Ina maana kipimo cha baada ya wiki mbili kitakuwa kinatafuta wazungu kwenye kijambio? Hivi kwa kuzisoma hizo taarifa walizotoa Polisi hamuona kabisa kuwa hilo swala limeshawekewa mazingira ya kulitupilia mbali kwa ushahidi dhidi ya Yahaya kukosekana?