RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

DNA kukutwa kwenye nguo au gari siyo shida sababu wawili hao ni wapenzi. Pia kukuta kwamba ni kweli bint aliingiliwa kinyume nayo siyo shida, tatizo ni je, aliingiliwa na nani? Sababu vipimo havikufanywa wakati ule, bali kama vimefanyika basi ni jana, yaani nearly 2 weeks later.
Hivyo ushahidi wa uwepo wa DNA za bint kwenye nguo au gari siyo issue sababu Kinachotafitwa siyo uthibisho kama wawili hawa wana mahusiano au wamewahi kiwa pamoja eneo lile, bali ni kinachotafutwa ni kama Nawanda alimuingilia kinyume na maumbile.
Siyo Kama alimuingilia kwa nguvu regardless of what kind of orifice was used?
 
DNA kukutwa kwenye nguo au gari siyo shida sababu wawili hao ni wapenzi. Pia kukuta kwamba ni kweli bint aliingiliwa kinyume nayo siyo shida, tatizo ni je, aliingiliwa na nani? Sababu vipimo havikufanywa wakati ule, bali kama vimefanyika basi ni jana, yaani nearly 2 weeks later.
Hivyo ushahidi wa uwepo wa DNA za bint kwenye nguo au gari siyo issue sababu Kinachotafitwa siyo uthibisho kama wawili hawa wana mahusiano au wamewahi kiwa pamoja eneo lile, bali ni kinachotafutwa ni kama Nawanda alimuingilia kinyume na maumbile.
Uwezekano wa Nawanda kushinda upo mkubwa tu.
 
Uwezekano wa Nawanda kushinda upo mkubwa tu.
Mimi nilishaona kabla kuwa tukio hilo si tu atashinda bali limetengenezwa.
Ninachojiuliza ni kwanini watengeneze hili na why Nawanda akubaliane na mbinu hii?
Bado nasisitiza serikali haina uadilifu wa kiwango hicho cha kushughulikia hili na ushahidi ni Makonda, Sabaya na Gekul.
 
Unambaka mtu mzima aliyekuja kugongwa kwa kutoka kilomita 50 chuoni hadi kwenye gari lako na anajua alichokuwa anakuja kufanywa, acheni hizo ,na alishagongwa januari huko na kaja tena miezi sita baadae huo ubakaji upo wapi?
Kalawitiwa na watu wengine siyo lazima rc kwani anatembea na rc tu , toeni hisia kwenye mambo ya kuthibitisha, ndio maana zombe na mama msuya walitoka kiulaini haya mambo hayataki hisia, binti atulie asome aache kufanya biashara ya mwili wake
Mimi nasemea tuhumu zilizopo polisi sasa ukweli wote utajulikana mahakamani ambapo upande wa mashitaka utatakiwa kuthibisha pasipo shaka kuwa makosa hayo yalitendeka kweli. Hakuna haja ya kutoleana povu kwa sasa.
 
Sarakasi tu hizo kesi yenyewe ishaisha muda mtu kanunua iPhone nne famchezo. Shahid ashagahil hakuona wala kufanyiwa chochote na huyo mpenziwe mwema.
 
kama mtendewa hatatoa ushirikiano ,hapo hakuna kesi
sababu hata kama kesi inasimamiwa na jamhuri ,mhusika mkuu na shahidi namba moja ni mtendewa
sasa yeye akisema kijambio kiko sawa,hakikuguswa, imeisha hiyo
 
Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination
Akiharibu itakula kwake kesi itamgeukia kwa kutoa ushahidi wa Uongo maana ni yeye ndiyo alileta taarifa hakutuma mwakilishi kupeleka taarifa .
 
Akiharibu itakula kwake kesi itamgeukia kwa kutoa ushahidi wa Uongo maana ni yeye ndiyo alileta taarifa hakutuma mwakilishi kupeleka taarifa .
Sheria ya kuharibu kesi haipo hivyo kama unavyofikiria, unapofanyiwa cross examination maelezo yakiwa na utofauti kidogo biashara imeisha na hakuna wa kukushitaki maana kukumbuka ni jambo lingine na kutoa ushahidi wa uongo ni jambo lingine
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀

Let's say shahidi akisema aliingiliwa na mtu mwingine sio huyo RC itakuwaje
 
Nasikia mijitu mingi ya Chama ChaMambusi iko hivi kama bw. Yahya!
Na vijana huko UVCCM wanacharazwa kwelikweli.
Ona tuu tembea zao uta note kuwa something wrong back side kwa wengi wao.
Msiniombe ushahidi maana nitaumwaga humo muishie kunilaumu bure!
 
Back
Top Bottom