RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

Ina maana kipimo cha baada ya wiki mbili kitakuwa kinatafuta wazungu kwenye kijambio? Hivi kwa kuzisoma hizo taarifa walizotoa Polisi hamuona kabisa kuwa hilo swala limeshawekewa mazingira ya kulitupilia mbali kwa ushahidi dhidi ya Yahaya kukosekana?
DNA ina-trace history million years back wewe unazungumzia wiki mbili? Dah!
 
In short mazingira waliyofanyia huo mchezo; I mean siti ya gari hata baada ya miaka 10 DNA ikichukuliwa hapo inatema live bila chenga!

DNA ni namba nyingine achana nayo. Rais Bill Clinton alitiwa hatiani baada ya tone la maji maji ya mwili aka mbegu zake za kiume kuonekana kwenye nguo ya Monika Lewinsky miaka kadhaa baadaye! DNA ni balaa!
Kuna kitu mnachanganya, Yahaya na huyo bint ni wapenzi hivyo DNA kukutwa kwenye gari siyo ajabu. Issue ipo kwenye ku prove kwamba alimuingilia kinyume cha maumbile.
Pia, tueeke records sawa, Clinton hakukutwa na hatia katika kesi iliyohusisha Monica Lewinsky. Hata hivyo, mnamo desember 19, 1998, Baraza la Wawakilishi la Marekani lilimpigia kura na kumshitaki (impeach) kwa mashtaka ya kusema uwongo chini ya kiapo (perjury) na kuganya obstruction of justice kuhusiana na uhusiano wake na Monica Lewinsky.

Baada ya mashtaka yale kupitishwa na Baraza la Wawwakilishi, kesi iliendelea mbele kwenye Ceneti ya ambako ilihitajika theluthi mbili (2/3) ya kura ili kumtoa madarakani. 12 Februari 12, 1999, Seneti ilimpigia kura na Clinton akaondolewa hatiani kwa mashtaka yote mawili. Hivyo, aliendelea kuwa rais hadi mwisho wa muhula wake mnamo Januari 2001.
 
Sijui wewe huwa unatumia akili gani kufikia hitimisho,hvi unadhani mambo ground ni simple kama mnavyosimuliana kwenye vijiwe vya kahawa? Hujui kuwa tayari nguo zake alizovaa siku ya tukio zimechukuliwa kwa ajili ya vipimo vya DNA,sasa sex toys zina DNA?
Huyo jamaa namuonaga mjanja humu ila kwa hili la DNA amechemka.
 
Sijui wewe huwa unatumia akili gani kufikia hitimisho,hvi unadhani mambo ground ni simple kama mnavyosimuliana kwenye vijiwe vya kahawa? Hujui kuwa tayari nguo zake alizovaa siku ya tukio zimechukuliwa kwa ajili ya vipimo vya DNA,sasa sex toys zina DNA?
Kumbula hao ni wapenzi, hivyo kukutwa nguo zina DNA siyo issue.
 
A
In short mazingira waliyofanyia huo mchezo; I mean siti ya gari hata baada ya miaka 10 DNA ikichukuliwa hapo inatema live bila chenga!

DNA ni namba nyingine achana nayo. Rais Bill Clinton alitiwa hatiani baada ya tone la maji maji ya mwili aka mbegu zake za kiume kuonekana kwenye nguo ya Monika Lewinsky miaka kadhaa baadaye! DNA ni balaa!
Acha kudanganya watu
 
Back
Top Bottom