RPC Rukwa: Vitendo vya ulawiti vinashamiri, vikemewe

RPC Rukwa: Vitendo vya ulawiti vinashamiri, vikemewe

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
2,010
Reaction score
4,179
Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limewataka wananachi kukemea na kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya Ulawaiti ambavyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku na kuwasababishia watoto madhara makubwa ya kiafya hali itakayosaidia kulinda Afya za watoto na kukuza maadili kwa jamii.

51E5F147-6103-44ED-A5E6-D8EDC7D54D1E.jpeg

Baadhi ya waumini wamesema wazazi wamekuwa wakipuuzia wajibu wao Katika kulinda na kutunza familia zao na kutoa wito kwa serikalia kuendelea kuweka mikakati ya kutoa elimu zaidi kwa jamii.
55AE6638-F3DC-4292-B676-005A798A2D9C.jpeg
 
ahsante RPC kwa kuwakunbusha wazazi/walezi/walimu majukumu yao.

ni kweli kabisa kama wazazi watatimiza wajibu wao kikamilifu tunaweza kuepusha vitendo vya kikatili kwa watoto wetu.
 
ahsante RPC kwa kuwakunbusha wazazi/walezi/walimu majukumu yao.

ni kweli kabisa kama wazazi watatimiza wajibu wao kikamilifu tunaweza kuepusha vitendo vya kikatili kwa watoto wetu.
Yupo sahihi ya hapa nikumbuka ile story ya wazazi waliopeka watoto zao kwa mganga kisha wakalawitiwa wote inahuzunisha sana.
 
Back
Top Bottom