Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwahiyo hapa Kamanda ndio ametuambia kimtindo kwamba CCM washashinda hata wananchi tufanye nini? Yaani wameshachagua upande wao kwa maana mwingine, tuwatake tusiwatake hakuna kitu kitabadilika!
Hawa ndio wananchi wanataka waweke imani zao kwao kuwalinda hasa inapotokea kuna mtazamo tofauti kwenye jambo fulani?
====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marko Chilya, akieleza changamoto zinazokabili vyama vya siasa na jinsi Jeshi la Polisi linavyowajibika.
Ameyaeleza haya katika mahojiano maalumu na mtangazaji wa Bongo FM