Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia.
Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani na kujua haki zao za msingi .
Huenda akipewa jukumu la kusimamia usalama barabarani mikoa yote tatizo sugu la ajali litamalizika.
Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani na kujua haki zao za msingi .
Huenda akipewa jukumu la kusimamia usalama barabarani mikoa yote tatizo sugu la ajali litamalizika.