Asiposema toeni, au miiko ya uandishi inasemaje mpaka ruhusa ya RPC?awaambia waandishi wasitoe hadi atakaposema
Hivi mnashindwa kumchapa makofi au kwasababu anaitwa RPC ndio mnamuogopa?Hii tena nimeiona kewnye ajali ya waliofariki kwa maji huko Mang'onyi juzi Machi26, 2026 had inafika jion RPC anapgiwa anasema atatujulisha na story inatakiwa kwenda hewani. Tunaomba kamanda badilika tunafanya kazi na ww kwny mazingira magumu sn ya kihabari kulinganisha na Makamanda waliopita.
Waliripoti uongo?Kwanza hata mimi waandishi wa habari siwaamini kabisa..
Niliwahi kuwapa taarifa mwaka 2004 dec mahali fulani na walinihoji, walichokirusha hewani ni kitu kingne tofauti..
Walikuwa wakiongozwa na mabele makubi..
Popote nilipo sitaki mawasiliano na waandishi wa habari..
Shindwa kabisa
Kwenye uandishi wa habari Kuna source nyingi za habari nenda eneo la tukio hoji mashuhuda, viongozi wa mtaa/kijiji kisha mtafute RPC atakachosema ripoti hicho hicho tena mpigie simu umrekodi kabisa, kisha mtafute mwenyekiti wa kamati ya usalama wilaya au mkoa ano wasipotoa ushirikiano andika hivyo hivyo kwamba wamekataa kutoa ushirikiano cha msingi tu uwe na ushahidi kwamba walikataa hivyo kama ni simu rekodi kama umeenda ofisini kwake washa mic yako ili asije kukukana.waandishi wasitoe hadi atakaposema
Unatafuta tifu?wamekataa kutoa ushirikiano cha msingi tu uwe na ushahidi kwamba walikataa hivyo kama ni simu rekodi kama umeenda ofisini kwake washa mic yako ili asije kukukana.
Walitengeneza tengeneza maneno yao...yaani uongo uongo mtupu..pumbavu kabisa..walitaka kuniharibia kabisaWaliripoti uongo?
Hahaha nimecheka kishenziWalitengeneza tengeneza maneno yao...yaani uongo uongo mtupu..pumbavu kabisa..walitaka kuniharibia kabisa
Kila tulipokuwa tunakutana na mabele makubi namwambia kaa mbali na mimi sitaki mazoea.
Naungana na wewe ,hawa watu sio kabisa ,kuna sehemu fumanizi ilifanyika ila mfumaniwaji alichoropoka salama salmini ila walipokuja kutoa taarifa nilishangaa sana ni uongo mtupu kuhusu yule mwamba mara kapigwa ,mara kanyanganywa silaha nikajua hii midude inacheza na biti za raiaKwanza hata mimi waandishi wa habari siwaamini kabisa..
Niliwahi kuwapa taarifa mwaka 2004 dec mahali fulani na walinihoji, walichokirusha hewani ni kitu kingne tofauti..
Walikuwa wakiongozwa na mabele makubi..
Popote nilipo sitaki mawasiliano na waandishi wa habari..
Shindwa kabisa
Tifu ila utakuwa umetimiza wajibu wako na siku nyingine hawezi kukukazia tena.Unatafuta tifu?
Hilo tifu lake sio dogo huko ndio wanaita kuchongeanaTifu ila utakuwa umetimiza wajibu wako na siku nyingine hawezi kukukazia tena.
Mbona ITV waliripoti hivyo hivyo na sauti ya RPC alisema yupo kikaoni badae simu yake ikaita bila kupokelewa.Hilo tifu lake sio dogo huko ndio wanaita kuchongeana
Hio ndio inavyokua ila ulivyoeleza pale juu na ulivyoeleza hapa ni tofautiMbona ITV waliripoti hivyo hivyo na sauti ya RPC alisema yupo kikaoni badae simu yake ikaita bila kupokelewa.
tofauti yake ni nini Mkuu?? mimi si nimesema akigoma kutoa ushirikiano Ripoti alichokuambia??? kama yupo bize RC AU DC pia anweza kuthibitisha mfano ajali, majanga kama amfuriko nk. Nyingine daktari au watu wa zimamaoto. Maana kumtegemea RPC tu anaweza asikupe ushirikiano au akakupa kwa kuchelewaHio ndio inavyokua ila ulivyoeleza pale juu na ulivyoeleza hapa ni tofauti
Hapana unakumbuka walichofanya BBC kwa Muliro kipindi kile cha mauaji sasa wewe ndio unasema wafanye hivyo yaan wachukue maelezo yake kisha wayasambaze anavyosema sis ndio?tofauti yake ni nini Mkuu?? mimi si nimesema akigoma kutoa ushirikiano Ripoti alichokuambia??? kama yupo bize RC AU DC pia anweza kuthibitisha mfano ajali, majanga kama amfuriko nk. Nyingine daktari au watu wa zimamaoto. Maana kumtegemea RPC tu anaweza asikupe ushirikiano au akakupa kwa kuchelewa