DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
Ndio hivyo maana usipotoa watakukana.Hapana unakumbuka walichofanya BBC kwa Muliro kipindi kile cha mauaji sasa wewe ndio unasema wafanye hivyo yaan wachukue maelezo yake kisha wayasambaze anavyosema sis ndio?
Na ndio zao hizo ila ukiwachoma na wewe jiandae kuchomwaNdio hivyo maana usipotoa watakukana.
Polisi ukenda nao ulalo watakutenga tu ukipata majanga ila watakuheshimu sana.Na ndio zao hizo ila ukiwachoma na wewe jiandae kuchomwa
Ukiwachoma wakakujua hua wanakupimia upepo tu wakubananishePolisi ukenda nao ulalo watakutenga tu ukipata majanga ila watakuheshimu sana.
ubaya ubwela kupambana tuUkiwachoma wakakujua hua wanakupimia upepo tu wakubananishe