Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amewataka madereva wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani kuacha tabia ya kuwa mbogo pinadi wanaposhauriwa na abiria wanaowabeba.
SACP Suleiman ameyasema hayo October 20,2026 akiwa kwenye oparesheni ya pamoja ya ukaguzi WA mabasi iliyohusisha Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara na mkoa wa Lindi katika kituo kikuu cha mabasi Chipuputa maarufu kama Mkanaredi.
Hata hivyo amesema inapotokea kuna mjamzito kwenye gari halafu gari likawa linagongeshwa kwenye mashimo na mimba ikatoka dereva atahesabiwa kama kaua.