RPC Theopista Mallya ni kielelezo cha askari Polisi wanaolalamikiwa sana nchini

Kiukweli kuhukumu Jeshi zima kwa kauli ya mtu mmoja hii ni dhambi kubwa nilifarijika sana na kauli ya Mbowe kuhusu kutokujua katika Jeshi wapo wema na waovu hivyo wale waovu wabebe maovu yao kwa kadri ya sheria inavyo elekeza.
RPC wa Dodoma as she was pia anatakiwa kuangaliwa kwa jicho la kibinadamu kwanza nilibaini namna ya uwasilishaji wa taarifa kuna tatitizo ambalo ndiyo limepelekea taharuki lakini mwandishi pia mechanic kuondoka na tafsiri aliyoiona inafaa inawezekana ni kwa maksudi au bahati mbaya.
Jamii kwa ujumla ikibaini askari anatuhumiwa inakuwa na mihemko ili akomolewe jambo hili lisichukuliwe poa kuna madhira mengi wanachi wanaumia kutokana na utendaji wa kazi za Polisi nyingine zimejaa ukatili na dhuluma lazima zifanyiwe kazi kwa umakini ingawa ninatambua kwamba Polisi hawawezi kufurahisha pande zote za mgogoro mfano wakimkamata mwizi watoto wa mwizi lazima watawachukia Polisi kwa kuwaondolea Baba yao hivyo katika kesi yoyote anayepoteza atawachukia hawa jamaa na anayeshinda anawashukuru hivyo haitatokea siku ambayo ita Pande zote zita wapenda.
Pamoja na yote hayo cha kuzingatia ni kila tuhuma ni lazima ipelelezwe kwa haki na weledi wa kutosha ili haki ionekane kutendeka.
Waandishi wa habari wasitengeneze mazingira ya kuuza kazi zao maana uongo haudumu na mwisho wa siku watajikuta kwenye chuki zisizo na maslahi kwa taifa.
Kwangu mimi Mwandishi aliyepelekea sakata hili kuleta taharuki anabeba lawama zote endapo alipotosha kauli ya mteja wake.
 
Hukuona clip?
 
Back
Top Bottom