DOKEZO RPC wa Dodoma msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste, atauawa!

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia makubaliano ya ujenzi na kampuni ya one 2 one focus. Wakaingia makubaliano ya kujengewa nyumba hapo Dodoma kwa kiasi Cha milioni mia moja na sabini 170,000,000 Tshs.

Aliyekuwa anasimamia huo ujenzi ni mtu mmoja anaitwa McEglon Rweyemamu. Huyo McEglon Rweyemamu alichofanya ni kutengeneza mrija wa kumtapeli huyo Mchungaji na kumfilisi kabisa.

Huyo MC Eglon Rweyemamu alichofanya, akatengenza namba mpya ya simu yenye jina la Rais wa Zanzibar. Akamdanganya huyo Kiongozi kuwa Kuna Luteni Generali wa jeshi anafanya kazi kwenye ikulu ya Zanzibar anaitwa Generali Mwamwega. Na akawaunganisha kimawasiliano huyo Mchungaji na Generali Mwamwega hapo ndipo utapeli ulipoanzia. Kumbuka Generali Mwamwega ni huyo huyo Mceglon.

Mwaka 2023 wakati wa Krismasi ndipo huyo McEglon alimpigia simu huyo Mchungaji na kumwambia kuwa yule waliyentumia pesa za kutoa gari bandarini amekamatwa na ameshtakiwa kwa kosa la utakatishaji fedha na kwamba polisi wanamtafuta huyo Mchungaji wamkamate. Wakati huyo Mchungaji amechanganyikiwa hajui kesi ya utakatishaji imeingiaje ndipo akatokezea huyo Generali Mwamwega na kumwambia asijali atamtumia cheo chake kumsaidia asikamatwe.

Jenerali Mwamwega akamwambia huyo Mchungaji kuwa ameongea na Rais Samia na Rais amesema alipe shilingi milioni mia mbili ndio shitaka lake litafutwa.

Ndipo huyo Mchungaji akaanza kulipa Hilo Deni la kitapeli, kuanzia Desemba 20 mpaka Leo. walimdanganya hizo pesa zinaenda ikulu. Mpaka Sasa ameshalipa milioni mia mbili na kitu, ila Hilo Deni la uongo wanaliongeza kila likikaribia kuisha. Huyo kiongozi kwa Sasa ana madeni mengi na hakuna jinsi ya kuyalipa. Mpaka amechanganyikiwa , hata gari lake kaweka bond. Mali zake zote kawapa aki a MC Eglon waziuze ili walipe Hilo Deni la serikali.

Mpaka Sasa wamemtapeli huyo Mchungaji milioni mia tatu na zaidi kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha. Wamemtapeli Hilo jengo la Dodoma Wala hawakumaliza wameishia kwenye lenta, wamemtapeli kiwanja milioni 58 Dodoma, wamemtapeli pesa za matibabu milioni 100, wamemtapeli milioni mia mbili kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha.

RPC wa Dodoma mumuokoe huyu kiongozi, ameanza kuwa kichaa

Hapo nimeshindwa kabisa ku connect dot ngoja waje wengine kwa ushauri zaidi
 
Aise! Sasa hata kama analipa pesa ya hiyo hapewi stakabidhi ya malipo? hata kupewa contol no.ya kulipa hakuna?
Maana fedha inayolipwa kwa kosa la utakatushaji ni mali ya serikali haiwezi kulipwa kwa njia nyingine!
 
Kama amefikia hatua hiyo ya kutapeliwa haipo haja ya kusaidiwa..duuuh!....
 
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia makubaliano ya ujenzi na kampuni ya one 2 one focus. Wakaingia makubaliano ya kujengewa nyumba hapo Dodoma kwa kiasi Cha milioni mia moja na sabini 170,000,000 Tshs.

Aliyekuwa anasimamia huo ujenzi ni mtu mmoja anaitwa McEglon Rweyemamu. Huyo McEglon Rweyemamu alichofanya ni kutengeneza mrija wa kumtapeli huyo Mchungaji na kumfilisi kabisa.

Huyo MC Eglon Rweyemamu alichofanya, akatengenza namba mpya ya simu yenye jina la Rais wa Zanzibar. Akamdanganya huyo Kiongozi kuwa Kuna Luteni Generali wa jeshi anafanya kazi kwenye ikulu ya Zanzibar anaitwa Generali Mwamwega. Na akawaunganisha kimawasiliano huyo Mchungaji na Generali Mwamwega hapo ndipo utapeli ulipoanzia. Kumbuka Generali Mwamwega ni huyo huyo Mceglon.

Mwaka 2023 wakati wa Krismasi ndipo huyo McEglon alimpigia simu huyo Mchungaji na kumwambia kuwa yule waliyentumia pesa za kutoa gari bandarini amekamatwa na ameshtakiwa kwa kosa la utakatishaji fedha na kwamba polisi wanamtafuta huyo Mchungaji wamkamate. Wakati huyo Mchungaji amechanganyikiwa hajui kesi ya utakatishaji imeingiaje ndipo akatokezea huyo Generali Mwamwega na kumwambia asijali atamtumia cheo chake kumsaidia asikamatwe.

Jenerali Mwamwega akamwambia huyo Mchungaji kuwa ameongea na Rais Samia na Rais amesema alipe shilingi milioni mia mbili ndio shitaka lake litafutwa.

Ndipo huyo Mchungaji akaanza kulipa Hilo Deni la kitapeli, kuanzia Desemba 20 mpaka Leo. walimdanganya hizo pesa zinaenda ikulu. Mpaka Sasa ameshalipa milioni mia mbili na kitu, ila Hilo Deni la uongo wanaliongeza kila likikaribia kuisha. Huyo kiongozi kwa Sasa ana madeni mengi na hakuna jinsi ya kuyalipa. Mpaka amechanganyikiwa , hata gari lake kaweka bond. Mali zake zote kawapa aki a MC Eglon waziuze ili walipe Hilo Deni la serikali.

Mpaka Sasa wamemtapeli huyo Mchungaji milioni mia tatu na zaidi kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha. Wamemtapeli Hilo jengo la Dodoma Wala hawakumaliza wameishia kwenye lenta, wamemtapeli kiwanja milioni 58 Dodoma, wamemtapeli pesa za matibabu milioni 100, wamemtapeli milioni mia mbili kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha.

RPC wa Dodoma mumuokoe huyu kiongozi, ameanza kuwa kichaa.
huyo katibu ni fala
 
duuh mchungaji hana ndg angewahusisha
 
Kuna kitu (vitu) kina-miss kwenye hii stori!
 
Rpc yupi wa kumsaidia??
 
Ah,,,huyo mchungaji hakustuka kufanya dili ya MSHOMILE,tena RWEYEMAU!!!!...hiyo ndio fani ya kina NSHOMILE tangu wakati wa ukoloni,,,,,,marehemu mwalimu JULIAS NYERERE nasikia nae alishatapeliwa na NSHOMILE mmoja mmoja zama hizo akiitwa BARONGO,,,naskia mzee BARONGO alichukuliwa na nyerer mpaka site flani [sijui ilikuwa project ya serikali aua ya mwalimu binafsi!!! barongo alikuwa engineer,,,,,,sasa walipofika site mwalimu akawa akimzungusha barongo maeneo ya site na kumwonyesha vifaa vya ujenzi,,,baada ya hapo wakatwanyika,baadae MTAALAM BARONGO alirudi na malori mawili aina ya BEDFORD,,,na kumwambia mlinzi amekuja kutwkwleza jukumu la kubebea vifaa vya ujenzi [cement na tofali kama alivoelekezwa na mwalim] so kwa vile mlinzi alwashuhudia kweli wakizunguka pale na kuingia mpaka stoo,,,basi akamwachia MTAALAM BARONGO akabeba tofali,cement na nodo,,,, naskia mwalimu alipopata taarifa ilibidi acheke na kumwamrisha BARONGO arudishe,,,,,,,,"nasisitiza,sina uakika nastori hii]
 
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia makubaliano ya ujenzi na kampuni ya one 2 one focus. Wakaingia makubaliano ya kujengewa nyumba hapo Dodoma kwa kiasi Cha milioni mia moja na sabini 170,000,000 Tshs.

Aliyekuwa anasimamia huo ujenzi ni mtu mmoja anaitwa McEglon Rweyemamu. Huyo McEglon Rweyemamu alichofanya ni kutengeneza mrija wa kumtapeli huyo Mchungaji na kumfilisi kabisa.

Huyo MC Eglon Rweyemamu alichofanya, akatengenza namba mpya ya simu yenye jina la Rais wa Zanzibar. Akamdanganya huyo Kiongozi kuwa Kuna Luteni Generali wa jeshi anafanya kazi kwenye ikulu ya Zanzibar anaitwa Generali Mwamwega. Na akawaunganisha kimawasiliano huyo Mchungaji na Generali Mwamwega hapo ndipo utapeli ulipoanzia. Kumbuka Generali Mwamwega ni huyo huyo Mceglon.

Mwaka 2023 wakati wa Krismasi ndipo huyo McEglon alimpigia simu huyo Mchungaji na kumwambia kuwa yule waliyentumia pesa za kutoa gari bandarini amekamatwa na ameshtakiwa kwa kosa la utakatishaji fedha na kwamba polisi wanamtafuta huyo Mchungaji wamkamate. Wakati huyo Mchungaji amechanganyikiwa hajui kesi ya utakatishaji imeingiaje ndipo akatokezea huyo Generali Mwamwega na kumwambia asijali atamtumia cheo chake kumsaidia asikamatwe.

Jenerali Mwamwega akamwambia huyo Mchungaji kuwa ameongea na Rais Samia na Rais amesema alipe shilingi milioni mia mbili ndio shitaka lake litafutwa.

Ndipo huyo Mchungaji akaanza kulipa Hilo Deni la kitapeli, kuanzia Desemba 20 mpaka Leo. walimdanganya hizo pesa zinaenda ikulu. Mpaka Sasa ameshalipa milioni mia mbili na kitu, ila Hilo Deni la uongo wanaliongeza kila likikaribia kuisha. Huyo kiongozi kwa Sasa ana madeni mengi na hakuna jinsi ya kuyalipa. Mpaka amechanganyikiwa , hata gari lake kaweka bond. Mali zake zote kawapa aki a MC Eglon waziuze ili walipe Hilo Deni la serikali.

Mpaka Sasa wamemtapeli huyo Mchungaji milioni mia tatu na zaidi kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha. Wamemtapeli Hilo jengo la Dodoma Wala hawakumaliza wameishia kwenye lenta, wamemtapeli kiwanja milioni 58 Dodoma, wamemtapeli pesa za matibabu milioni 100, wamemtapeli milioni mia mbili kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha.

RPC wa Dodoma mumuokoe huyu kiongozi, ameanza kuwa kichaa.
Hata mtoto wangu wa darasa LA nne, hawezi kutapeliwa kis..... Nge kiasi hicho,
Yaani mtu akupigie cm au ajitambulishe tu kuwa ni Fulani na wewe utoe pesa,!?
 
Ukimuona mhaya anavaa soksi ndefu kama refa maeneo ya mjini na suti ya mtumba ujue huyo ni tapeli , walikuwepo kibao posta ya zamani hilo jina Rweyamuma ndio kuna jamaa alitapeliwa , huyo mhaya alijifanya ataoa connection za kazi kingereza cha ugoko kingi kumbe tapeli.
🤣🤣🤣
 
Huyo mchungaji
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia makubaliano ya ujenzi na kampuni ya one 2 one focus. Wakaingia makubaliano ya kujengewa nyumba hapo Dodoma kwa kiasi Cha milioni mia moja na sabini 170,000,000 Tshs.

Aliyekuwa anasimamia huo ujenzi ni mtu mmoja anaitwa McEglon Rweyemamu. Huyo McEglon Rweyemamu alichofanya ni kutengeneza mrija wa kumtapeli huyo Mchungaji na kumfilisi kabisa.

Huyo MC Eglon Rweyemamu alichofanya, akatengenza namba mpya ya simu yenye jina la Rais wa Zanzibar. Akamdanganya huyo Kiongozi kuwa Kuna Luteni Generali wa jeshi anafanya kazi kwenye ikulu ya Zanzibar anaitwa Generali Mwamwega. Na akawaunganisha kimawasiliano huyo Mchungaji na Generali Mwamwega hapo ndipo utapeli ulipoanzia. Kumbuka Generali Mwamwega ni huyo huyo Mceglon.

Mwaka 2023 wakati wa Krismasi ndipo huyo McEglon alimpigia simu huyo Mchungaji na kumwambia kuwa yule waliyentumia pesa za kutoa gari bandarini amekamatwa na ameshtakiwa kwa kosa la utakatishaji fedha na kwamba polisi wanamtafuta huyo Mchungaji wamkamate. Wakati huyo Mchungaji amechanganyikiwa hajui kesi ya utakatishaji imeingiaje ndipo akatokezea huyo Generali Mwamwega na kumwambia asijali atamtumia cheo chake kumsaidia asikamatwe.

Jenerali Mwamwega akamwambia huyo Mchungaji kuwa ameongea na Rais Samia na Rais amesema alipe shilingi milioni mia mbili ndio shitaka lake litafutwa.

Ndipo huyo Mchungaji akaanza kulipa Hilo Deni la kitapeli, kuanzia Desemba 20 mpaka Leo. walimdanganya hizo pesa zinaenda ikulu. Mpaka Sasa ameshalipa milioni mia mbili na kitu, ila Hilo Deni la uongo wanaliongeza kila likikaribia kuisha. Huyo kiongozi kwa Sasa ana madeni mengi na hakuna jinsi ya kuyalipa. Mpaka amechanganyikiwa , hata gari lake kaweka bond. Mali zake zote kawapa aki a MC Eglon waziuze ili walipe Hilo Deni la serikali.

Mpaka Sasa wamemtapeli huyo Mchungaji milioni mia tatu na zaidi kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha. Wamemtapeli Hilo jengo la Dodoma Wala hawakumaliza wameishia kwenye lenta, wamemtapeli kiwanja milioni 58 Dodoma, wamemtapeli pesa za matibabu milioni 100, wamemtapeli milioni mia mbili kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha.

RPC wa Dodoma mumuokoe huyu kiongozi, ameanza kuwa ki
Huyo mchungaji ni fala kabisa,Kuna Dhambi alitenda inamwandama mwache afe na upumbavu wake,kwanza angestuka mapema mno kuwa anatapeliwa alipoambiwa kuwa "Rais Samia kasema ulipe mil 200 ili kesi iishe", hiyo ni kauli ya kitapeli kabisa,kwanza hilo Tapeli limemchafua sana Rais.
 
Back
Top Bottom