- Thread starter
- #21
Lissu anahusika nini na kupanga ratiba za viongozi? Kama polisi waliruhusu maandamano kupita barabara hiyo ulitaka afanye nini?lisu anacho kitaka ni mauwaji ya kujitoa mhanga kwa wananchi walala hoi
muhimu watanzania wenye akili wameliona hilo
Ukiwa chawa usiwe juha!