RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

Dah mesi rahisi hii ila inafanywa ngumu sijui kwanini ,pesa mudamwingine zinatesa tu
 
ndio ,haiwezekani ,usipime damu iliyopo mwenyekisu Ili ujiridhishe kwamba ndicho kisu kimetumika na inaweza kukusaidia kujua nani alishika kisu hicho ,kitendo chakisu kile kuachwa na wauaji ilikuwa kosakubwa kwao ,wameacha kitendea KAZI

Jiuliza ni rushwa au ujinga kazini au uzembe
Hawajui wafanyayo.
 
Forensic bado kuna tatizo.
Wao walitakiwa waanze na alama za kwenye kisu etc
 
Hii case bado tyuuh?? Si Miriam alikiri kumuua wifi yake??
Duuuh hatariii sana,

Uwage unaleta updates kila case inavoendelea.
 
Hata sikumbuki hii case inaendeleaje maana ni muda mrefu sana. Ni miongoni mwa case zilizotingisha sana Arusha na Dar es Salaam. Je mjane alikutwa na hatia?
alikutwa na hatia na wauwaji walikamatwa huyo mjane alitaja aliowakodi nazani
 
alikutwa na hatia na wauwaji walikamatwa huyo mjane alitaja aliowakodi nazani
Huyu mama Miriam ni mjinga na wala hana akili juu za hizi mishe zinaendaje. Eti unamwambia mfanyakazi asilale usiku huo nyumbani na kutoa hela, alafu usiku huo huo tukio la mauaji linatokea, unadhani Nani atakuwa primary suspected?🤣🙌
Atakuwa aliongozwa na hasira na si weredi, mbaya zaidi baada ya kuhakikisha anaharibu TRACE kwa kumficha mfanyakazi, anamuacha arudi nyumbani kwao🤣. Polisi walirahisishiwa sana kazi yao👏
 
Huyu mama Miriam ni mjinga na wala hana akili juu za hizi mishe zinaendaje. Eti unamwambia mfanyakazi asilale usiku huo nyumbani na kutoa hela, alafu usiku huo huo tukio la mauaji linatokea, unadhani Nani atakuwa primary suspected?[emoji1787][emoji119]
Atakuwa aliongozwa na hasira na si weredi, mbaya zaidi baada ya kuhakikisha anaharibu TRACE kwa kumficha mfanyakazi, anamuacha arudi nyumbani kwao[emoji1787]. Polisi walirahisishiwa sana kazi yao[emoji122]
hii kesi niliifuatilia sana huyo mama na mchepuko ndo walikodi watu kufanya mauaji na huyo dada wa kazi walimpa hadi simu na hiyo simu aliitupa baharini na akakimbilia kwa boy friend wake......ukitaka kuisoma hukumu na kesi yote i google tu gazeti la mwananchi liliiweka mwanzo mwisho ni nzuri sana
 
Hukumu gani?na kesi ndo ipo kwenye usikilizaji??
 
Back
Top Bottom