kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndio ,haiwezekani ,usipime damu iliyopo mwenyekisu Ili ujiridhishe kwamba ndicho kisu kimetumika na inaweza kukusaidia kujua nani alishika kisu hicho ,kitendo chakisu kile kuachwa na wauaji ilikuwa kosakubwa kwao ,wameacha kitendea KAZIKwa hiyo mchomvu Kala rushwa?
Hawajui wafanyayo.ndio ,haiwezekani ,usipime damu iliyopo mwenyekisu Ili ujiridhishe kwamba ndicho kisu kimetumika na inaweza kukusaidia kujua nani alishika kisu hicho ,kitendo chakisu kile kuachwa na wauaji ilikuwa kosakubwa kwao ,wameacha kitendea KAZI
Jiuliza ni rushwa au ujinga kazini au uzembe
Hapana Chusa alichomoka.Chusa si alikutwa na hatia kwenye kesi ya mauaji ya Bil. Msuya?
alikutwa na hatia na wauwaji walikamatwa huyo mjane alitaja aliowakodi nazaniHata sikumbuki hii case inaendeleaje maana ni muda mrefu sana. Ni miongoni mwa case zilizotingisha sana Arusha na Dar es Salaam. Je mjane alikutwa na hatia?
Hukumu ilishatoka mkuu?alikutwa na hatia na wauwaji walikamatwa huyo mjane alitaja aliowakodi nazani
Huyu mama Miriam ni mjinga na wala hana akili juu za hizi mishe zinaendaje. Eti unamwambia mfanyakazi asilale usiku huo nyumbani na kutoa hela, alafu usiku huo huo tukio la mauaji linatokea, unadhani Nani atakuwa primary suspected?🤣🙌alikutwa na hatia na wauwaji walikamatwa huyo mjane alitaja aliowakodi nazani
hii kesi niliifuatilia sana huyo mama na mchepuko ndo walikodi watu kufanya mauaji na huyo dada wa kazi walimpa hadi simu na hiyo simu aliitupa baharini na akakimbilia kwa boy friend wake......ukitaka kuisoma hukumu na kesi yote i google tu gazeti la mwananchi liliiweka mwanzo mwisho ni nzuri sanaHuyu mama Miriam ni mjinga na wala hana akili juu za hizi mishe zinaendaje. Eti unamwambia mfanyakazi asilale usiku huo nyumbani na kutoa hela, alafu usiku huo huo tukio la mauaji linatokea, unadhani Nani atakuwa primary suspected?[emoji1787][emoji119]
Atakuwa aliongozwa na hasira na si weredi, mbaya zaidi baada ya kuhakikisha anaharibu TRACE kwa kumficha mfanyakazi, anamuacha arudi nyumbani kwao[emoji1787]. Polisi walirahisishiwa sana kazi yao[emoji122]
Hukumu gani?na kesi ndo ipo kwenye usikilizaji??hii kesi niliifuatilia sana huyo mama na mchepuko ndo walikodi watu kufanya mauaji na huyo dada wa kazi walimpa hadi simu na hiyo simu aliitupa baharini na akakimbilia kwa boy friend wake......ukitaka kuisoma hukumu na kesi yote i google tu gazeti la mwananchi liliiweka mwanzo mwisho ni nzuri sana
Tayari. Watuhumiwa wako huru. Washtaki wameshindwa kuzibitisha beyond reasonable doubt" uhusika WA WiFi na Mwenzie😭😭Hukumu ilishatoka mkuu?