RPC Wankyo Nyigesa ni kielelezo cha kuzorota kwa kiwango cha utumishi na nidhamu ndani ya Jeshi la Polisi

RPC Wankyo Nyigesa ni kielelezo cha kuzorota kwa kiwango cha utumishi na nidhamu ndani ya Jeshi la Polisi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi. Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya kawaida ya wananchi.

Watu walianza kusituka na matukio makubwa;

1.kuuwawa kwa makusudi wachimba madini wanne toka Morogoro. Polisi na hadi RCO Zombe akasema ni majambazi. Uchunguzi zaidi ukathibitisga kuwa ni uporaji uliofanywa na Polisi.
Maafisa polisi walipanga na kutekeleza uhalifu.

2. Kuuwawa kwa mchimba madini huko Mtwara , tukio hili limetonesha kesi hiyo ya Zombe na watuhumiwa ni maafisa wandamizi wa Polisi mkoani Mtwara. Maafisa Polisi walipanga na kutekeleza uhalifu.

3 Huko Tanga nako wananchi wamelalamika watu kuuwawa na Polisi.

4. Tukio la kijana Hamza kulipiza kisasi na kuua vijana wadogo wa Polisi. Inasemekana alidhulumiwa madini na hao vijana wadogo wa polisi. Suala halikuwa independently investigated.

5. Kesi ya Freeman Mbowe nayo imeonyesha dalili za ubambikaji
Polisi walio fungua kesi kujikanyaga kitoto hadi kufikia tabia za primary scholl ambapo mwanafunzi mtukutu anakimbilia chooni kukwepa adhabu za Mwalimu. Maofisa waandamizi kwenda chooni au kujidai wanaumwa kila wakibanwa na maswali ya kisheria yanayowahusu moja kwa moja.

Tunaishukuru serikali kwakuliona tatizo la aibu ya hao maafisa wa polisi na kuondoa mashtaka mahakamani.

6. Tuje sasa suala la RPC Wankyo Nyigesa
Afisa Wankyo bila aibu na kujizuia kiafisa, anatamka waziwazi kukitaka cheo cha Mkuu wa Jeshi la Polisi. Haijawahi tokea ukosefu wa nidhamu kwa afisa wa Polisi kukejeli na kudharau afisa mkuu wa polisi, Polisi No 1.

Kwa tuliopitia mafunzo serious ya jeshi, hata kama ni JKT miaka hiyo, huyu RPC Wankyo moja kwa moja anapelekwa Court Martial.

Na pengine tukio hili si la kushangaza sana ukifikiria matukio tuliyaona na ukosefu mkubwa kwa uaminifu na weledi hasa kwa maafisa wa Polisi, wengine wakifanya uhalifu wa kupanga-kula njama.

Tatizo limeota mizizi na inabidi serikali itazame kuanzia kiini cha tatizo.
Polisi wanakuwa recruited kindugu.
Polisi wanateteana kwenye uhalifu.
Polisi vile vile wamekuwa wakitumika na wanasiasa.
Ilistua sana kuwa Polisi waandamizi hawajui PGO.

Matatizo ya Polisi ni ya muda mrefu na si ya viongozi wa sasa, wameyakuta ila yameota mizizi

CCM nayo imeona tatizo hilo na kukubali kwamba kuna haja ya kufanya mabadiliko kiutendaji ndsni ya Polisi.

Tuchukue hatua sasa kabla jeshi la Polisi halijawa halitawaliki.
 
IGP akiambiwa anabaki kusema asemwe yeye kama Sirro sio taasisi. Ukitaka kuielewa taasisi angalia viongozi wake; Ukweli ni kuwa taasisi imeoza. KIla mtu anatamani vitu vikubwa, lakini tunachunga midomo yetu. Tamaa ya uongozi imetoka kwenye roho mpaka mdomoni. Ndio maana wanaongoza jeshi kisiasa maana wanajua nafasi za juu zinatoka kisiasa.
 
Kulikuwa na kuruta cock up zamani, sasa tuna maafisa polisi cock up.
Ni kweli kabisa.
Na tatizo kubwa nililoliona kwa sasa, ni kuhusisha jeshi la polisi katika masuala ya kisiasa. Ikiwa ni pamoja na teuzi za kisiasa km ukuu wa wilaya, mkoa nk.
Hii inaamsha ari ya kutamani kuteuliwa zaidi kuliko kutumikia taaluma zao.

Wengi wao wanawaza vyeo vya kuteuliwa. Huyu ni mfano tu, kwasababu ameidhihirisha ndoto yake hadharani.

Hata hivyo tunapaswa kujifunza pia; kutoweka wazi ndoto au maono tuliyonayo hasa ikiwa yanahusisha watu wengine! Bora kuwaza kimyakimya hadi pale itakapotokea!
 
Sirro will go down in history as the worst Igp kuliko hataa mahita
Tatizo siyo Sirro, tatizo kubwa zaidi ni Polisi kama Taasidi kukubsli kutumika kuridhisha matakwa ya kisiasa.
Mfzno jashi la Polisi lingekataa kutumika kubambika sunkuekwa watu ndsni kisiasa, lingeheshimika.
 
Kesi ya Mbowe imetuonyesha polisi wengi hawajui kabisa kanuni na taratibu za uendeshaji jeshi PGO
Ni wakati vyuo vya polisi pamoja na mafunzo ya bunduki na kung Fu wakalishwe darasani
 
Jeshi la polisi lijitenge kabisa na hawa wanasiasa,ili lifanye kazi yake ki professional.Wafuate Police General Orders (PGO) sio tambo za wanasiasa.
Tumeshuhudia wakuu wa wilaya au mkoa anamwamlisha mkuu wa polisi amsweke ndani ofisa wa serikali kabla ya uchunguzi wa kipolisi.
Wakati mwingine ni chuki binafsi.

Pili Police Force ingesukwa upya inahitaji capacity building.
 
Wanasiasa kwa ngazi zote hadi urais , wamehusika sana kuliondolea weledi jeshi la polisi.
Polisi nao wakaingia laiszes faire( uvivu na mazoea) wa kutofanya kazi kitaalam.

PGO hadi ngazi ya DCI haifuatwi.

Polisi ivunjwe na kusukwa upya.
 
Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi.
Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya kawaida ya wananchi.

Watu walianza kusituka na matukio makubwa;
1.kuuwawa kwa makusudi wachimba madini wanne toka Morogoro. Polisi na hadi RCO Zombe akasema ni majambazi. Uchunguzi zaidi ukathibitisga kuwa ni uporaji uliofanywa na Polisi.
Maafisa polisi walipanga na kutekeleza uhalifu.

2. Kuuwawa kwa mchimba madini huko Mtwara , tukio hili limetonesha kesi hiyo ya Zombe na watuhumiwa ni maafisa wandamizi wa Polisi mkoani Mtwara.
Maafisa Polisi walipanga na kutekeleza uhalifu.

3 Huko Tanga nako wananchi wamelalamika watu kuuwawa na Polisi.

4. Tukio la kijana Hamza kulipiza kisasi na kuua vijana wadogo wa Polisi. Inasemekana alidhulumiwa madini na hao vijana wadogo wa polisi. Suala halikuwa independently investigated.

5. Kesi ya Freeman Mbowe nayo imeonyesha dalili za ubambikaji.
Polisi walio fungua kesi kujikanyaga kitoto hadi kufikia tabia za primary scholl ambapo mwanafunzi mtukutu anakimbilia chooni kukwepa adhabu za Mwalimu.
Maofisa waandamizi kwenda chooni au kujidai wanaumwa kila wakibanwa na maswali ya kisheria yanayowahusu moja kwa moja.

Tunaishukuru serikali kwakuliona tatizo la aibu ya hao maafisa wa polisi na kuondoa mashtaka mahakamani.

6. Tuje sasa suala la RPC Wankyo Nyigesa.
Afisa Wankyo bila aibu na kujizuia kiafisa, anatamka waziwazi kukitaka cheo cha Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Haijawahi tokea ukosefu wa nidhamu kwa afisa wa Polisi kukejeli na kudharau afisa mkuu wa polisi, Polisi No 1.

Kwa tuliopitia mafunzo serious ya jeshi, hata kama ni JKT miaka hiyo, huyu RPC Wankyo moja kwa moja anapelekwa Court Martial.

Na pengine tukio hili si la kushangaza sana ukifikiria matukio tuliyaona na ukosefu mkubwa kwa uaminifu na weledi hasa kwa maafisa wa Polisi, wengine wakifanya uhalifu wa kupanga-kula njama.

Tatizo limeota mizizi na inabidi serikali itazame kuanzia kiini cha tatizo.
Polisi wanakuwa recruited kindugu.
Polisi wanateteana kwenye uhalifu.
Polisi vile vile wamekuwa wakitumika na wanasiasa.
Ilistua sana kuwa Polisi waandamizi hawajui PGO.

Matatizo ya Polisi ni ya muda mrefu na si ya viongozi wa sasa, wameyakuta ila yameota mizizi

CCM nayo imeona tatizo hilo na kukubali kwamba kuna haja ya kufanya mabadiliko kiutendaji ndsni ya Polisi.

Tuchukue hatua sasa kabla jeshi la Polisi halijawa halitawaliki.
Point sn polisi imeoza ivunjwe kabisa
 
Ni kweli kabisa.
Wanasiasa kwa ngazo zote hadi urais , wamehisika sana kuliondolea weledi jeshi la polisi.
Polisi nao wakaingia laiszes faire( uvivu na mazoea) wa kutofanya kazi kitaalam.

PGO hadi ngazi ya DCI haifuatwi.

Polisi ivunjwe na kusukwa upya.
Kule wamejaa watu wa hovyo kabisa huwezi amini huyu ni afisa wa polisi yaani wengine walevi na wavuta bangi
 
Wakenya walishaliona kama hili letu na hatimae kati ya mambo walioyaona Wakenya kuondoa kuitwa Jeshi la police na sasa ni Police service.
Jina tu linatosha? nadhani livunjwe liundwe upya na watu wapya kabisa wasomi na mafunzo yao yabadilike wanachojua sasahivi ni kutesa watu pekee hasa wasio na uwezo
 
Jeshi la polisi lijitenge kabisa na hawa wanasiasa,ili lifanye kazi yake ki professional.Wafuate Police General Orders (PGO) sio tambo za wanasiasa.
Tumeshuhudia wakuu wa wilaya au mkoa anamwamlisha mkuu wa polisi amsweke ndani ofisa wa serikali kabla ya uchunguzi wa kipolisi.
Wakati mwingine ni chuki binafsi.

Pili Police Force ingesukwa upya inahitaji capacity building.
Polisi imegeuzwa na viongozi wa kisiasa kama mgambo
 
Tatizo siyo polisi.tatizo ni katiba.mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.mkuu wa wilaya akimfitini polisi hana kazi.ili ulinde tumbo lazima ujipendekeze kwa mwanasiasa.zamani ilikuwa bora kidogo kwani wakuu wa wilaya na mikoa walikuwa wengi wanausalama.kwa sasa anachaguliwa mwanasiasa yeyote.wanausalama wamekuwa watu wa kujipendekeza kwa wakuu wa mikoa na wilaya.bila jeshi kuwa taasisi inayojitegemea haliwezi fuata PGO
 
Back
Top Bottom