Hata Manula amehongwa na jiesiemuNaona utopolo wamevamia uzi wameshamaliza kumhonga kipa wa Kagera
Hii lazima ilikuwa ndotoniMnyama mkali Simba sc tafuna hao RS Berkane.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA CAFCC 2021/2022
Itakuwa wameongwa pesa na GSM ili wacheze hovyoMoja kati ya mechi mbovu kwa Simba msimu huu
GSM hii sio fair competition.Hata Manula ehongwa na jiesiemu
Mkuu nawewe unaangalia mechi ninayoangalia mm?Sasa tushaanza kuwapelekea moto
Bila shaka ulikula mkuu?nimeamua kulala tu.
Wanakera sana,Makolo ilitakiwa wale mkono hapaBerkane wanacheza kwa kuridhika na goli mbili
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]Hii mechi simba hatufungwi hata tukicheza na watoto wa waganga
Amevaa kitambaa Cha unahodhaBocco mpaka saa hizi anafanya nini uwanjani
WanajitabidiWanakera sana,Makolo ilitakiwa wale mkono hapa