changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hili kundi timu zote nne zina matatizo yanayolingana, wote wamekuwa na tatizo kwenye upande wa ulinzi hivyo kufanya kila timu iweze kufungika. Hakuna timu ambayo insonekana imekamilika kila idara. Ila Simba wamekuwa ns advantage moja na ndiyo inayowabeba mpaka sasa. Advantage yenyewe ni kuwa na golikipa imara. Manura kasahisha makosa mengi sana ya safu yake ya ulinzi. mechi dhidi ya USGN Simba walikuwa wanafungwa goli zaidi ya mbili ila Manura kafanya save nyingi sana na jana pia. Ila timu zilizobakia wabovu kwanzia kipa mpaka walinzi wao.