RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Hili kundi timu zote nne zina matatizo yanayolingana, wote wamekuwa na tatizo kwenye upande wa ulinzi hivyo kufanya kila timu iweze kufungika. Hakuna timu ambayo insonekana imekamilika kila idara. Ila Simba wamekuwa ns advantage moja na ndiyo inayowabeba mpaka sasa. Advantage yenyewe ni kuwa na golikipa imara. Manura kasahisha makosa mengi sana ya safu yake ya ulinzi. mechi dhidi ya USGN Simba walikuwa wanafungwa goli zaidi ya mbili ila Manura kafanya save nyingi sana na jana pia. Ila timu zilizobakia wabovu kwanzia kipa mpaka walinzi wao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We bro tafadhali sana hayo mambo ndio tulikua tunapigwa goli tano hayo huko tushatoka kabisa leo hii tuna draw Ugenini timu inamajeruhi kibao na inapigwa mbili na Berkane unalalamika kweli?
 
Zile tano mlikuwa mnapigwa kwenye club bingwa, huku viti maalum ni kwa wale walioshindwa. Ingekuwa mko kule bado hamsa zingeendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…