Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
- Thread starter
- #21
HT, 0-0
Orlando walianza vizuri, pumzi ikakata.. Berkane wajanja sana, walikua bado wanausoma mchezo.
Dakika za mwisho kuelekea HT Orlando walikata pumzi, na kupelekewa moto balaa.
Wale wa Berkane like hapa twende sawa