RSF ya Sudan yaua takribani watu 300 Kordofan Kaskazini

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kundi la wanasheria wa haki za binadamu nchini Sudan wameishtumu jeshi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF) kwa kuvamia na kuchoma moto vijiji katika jimbo la Kordofan Kaskazini na kuua takribani watu 300, wakiwemo watoto na wanawake wajawazito

Taarifa hiyo iliyotolewa na Emergency Lawyers mwishoni mwa siku ya Jumatatu Julai 14, 2025, imekuja wakati mapigano makali yakiendelea kati ya RSF na jeshi la Sudan katika maeneo ya magharibi mwa nchi hiyo. Pande hizo mbili zimekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 2023, ambapo jeshi limedhibiti maeneo ya kati na mashariki ya nchi, huku RSF ikijaribu kuimarisha udhibiti wake katika maeneo ya magharibi, yakiwemo Kordofan Kaskazini na Darfur

Emergency Lawyers walisema kuwa RSF ilishambulia vijiji kadhaa siku ya Jumamosi karibu na mji wa Bara, ambao unadhibitiwa na kikosi hicho, Katika kijiji cha Shag Alnom, watu zaidi ya 200 waliuawa katika “mauaji ya kutisha”, kwa mujibu wa taarifa hiyo
Waathiriwa walichomwa wakiwa ndani ya nyumba zao wengine walipigwa risasi, Katika vijiji vya jirani, raia wengine 38 waliuawa na wengine kadhaa walitekwa nyara
Siku iliyofuata, RSF walitekeleza “mauaji mengine” katika kijiji cha Hilat Hamid, ambapo watu wasiopungua 46 waliuawa, wakiwemo wanawake wajawazito na watoto

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) limesema Jumapili kuwa mapigano hayo yamewalazimu zaidi ya watu 3,000 kukimbia vijiji vya Shag Alnom na al-Kordi. Marekani na mashirika ya haki za binadamu yameishutumu RSF kwa uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu, na mauaji y akutiha, Wanajeshi wake wamehusika na uporaji wa nguvu katika maeneo waliyoyateka kote nchini

====

A group of human rights lawyers in Sudan have accused the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) of raiding and setting fire to villages in the state of North Kordofan and killing nearly 300 people, including children and pregnant women.

The statement by Emergency Lawyers late on Monday came as fighting rages between the RSF and the Sudanese army in the western areas of the country

The two sides have been locked in a civil war since 2023, and the army has taken firm control of the centre and east of the country, while the RSF is trying to consolidate its control of the western regions, including North Kordofan and Darfur.

Emergency Lawyers said the RSF had attacked several villages on Saturday around the city of Bara, which the paramilitary force controls.

In one village, Shag Alnom, more than 200 people were killed in a “terrible massacre”, the group said. The victims were either “burned inside their homes” or shot. In the neighbouring villages, 38 other civilians were also killed and dozens more have been forcibly disappeared.

The next day, the RSF carried out “another massacre” in the village of Hilat Hamid, killing at least 46 people, including pregnant women and children, the group added.

“It has been proven that these targeted villages were completely empty of any military objectives, which makes clear the criminal nature of these crimes carried out in complete disregard of international humanitarian law,” Emergency Lawyers said, placing the responsibility with the RSF leadership

The United Nations’ International Organization for Migration (IOM) said on Sunday that intensified fighting in the region forced more than 3,000 people to flee the villages of Shag Alnom and al-Kordi

Many have sought refuge in the surrounding parts of Bara, according to the UN agency

The United States and human rights groups have accused the RSF of war crimes, crimes against humanity, and genocide. Its soldiers have carried out a series of violent looting raids in territory it has taken control of across the country.

The RSF leadership says it will bring those found responsible for such acts to justice.

Sudan’s civil war has created the world’s largest humanitarian crisis, driving more than half the population into hunger and spreading disease, including cholera, across the country.

At least 40,000 people have been killed, while 13 million have been displaced.

The International Criminal Court (ICC) has launched a new probe into war crimes in the western Darfur region, and on Thursday, senior prosecutor Nazhat Shameem Khan told the UN Security Council that her office has “reasonable grounds to believe that war crimes and crimes against humanity” are being committed there.

Khan said her office has focused its probe on crimes committed in West Darfur, and interviewed victims who have fled to neighbouring Chad.

She said the depth of suffering and the humanitarian crisis in Darfur “has reached an intolerable state”, with famine escalating and hospitals, humanitarian convoys and other civilian infrastructure being targeted.

“People are being deprived of water and food , Rape and sexual violence are being weaponised,” Khan said, adding that abductions for ransom had become “common practice”

1752566348293.png

​
Source: Ajazeera​
 
Aliyeanzisha uislam alipaswa kushitakiwa na kunyongwa. Halafu watakuambia wanafunga sijui mwezi mtukufu na kuswali sala tano. Mjamzito unampasua tumbo ?? Vichanga unavitundika kwenye miti.
 
s

sasa hapo uislamu umeingiaje? hiyo chuki yako dhidi ya uislamu itakupa msongo wa mawazo
 
Wasudan wenyewe wanasema wao ni Waarab, tulinde amani ya nchi, wengine tuwaache na mambo yao.
Huwezi kulinda aman kwa mtutu wa bunduki na kutengeneza gape kati ya wasiokua na nacho na wenye nacho Mbunge akimaliza mda wake anakuja milion 500 huku police akimaliza mda wake anakuja milioni 40 hapo unaona kuna amani nyie mnatembelea LC 300 sisi mnatupa baiskeli unaona kuna aman civil war Afrika haiwezekani kuja kuisha ukiona nchi imeendelea Amani ipo jua serikalini imekubali kula na Wananchi
 
s
sasa hapo uislamu umeingiaje? hiyo chuki yako dhidi ya uislamu itakupa msongo wa mawazo
Wala haitokei kupata msongo hata dalili yake, badala yake ungenisadia kujibu,, (RSF) Rapid Support Forces ni akina nani na wanapigania maslahi gani. Na wameuwa na kufuta vijiji vya watu weusi kwa sababu gani.
 
Kundi la wanasheria wa haki za binadamu nchini Sudan wameishtumu jeshi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF) kwa kuvamia na kuchoma moto vijiji katika jimbo la Kordofan Kaskazini na kuua takribani watu 300, wakiwemo watoto na wanawake wajawazito

Taarifa hiyo iliyotolewa na Emergency Lawyers mwishoni mwa siku ya Jumatatu Julai 14, 2025, imekuja wakati mapigano makali yakiendelea kati ya RSF na jeshi la Sudan katika maeneo ya magharibi mwa nchi hiyo. Pande hizo mbili zimekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 2023, ambapo jeshi limedhibiti maeneo ya kati na mashariki ya nchi, huku RSF ikijaribu kuimarisha udhibiti wake katika maeneo ya magharibi, yakiwemo Kordofan Kaskazini na Darfur

Emergency Lawyers walisema kuwa RSF ilishambulia vijiji kadhaa siku ya Jumamosi karibu na mji wa Bara, ambao unadhibitiwa na kikosi hicho, Katika kijiji cha Shag Alnom, watu zaidi ya 200 waliuawa katika “mauaji ya kutisha”, kwa mujibu wa taarifa hiyo
Waathiriwa walichomwa wakiwa ndani ya nyumba zao wengine walipigwa risasi, Katika vijiji vya jirani, raia wengine 38 waliuawa na wengine kadhaa walitekwa nyara
Siku iliyofuata, RSF walitekeleza “mauaji mengine” katika kijiji cha Hilat Hamid, ambapo watu wasiopungua 46 waliuawa, wakiwemo wanawake wajawazito na watoto

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) limesema Jumapili kuwa mapigano hayo yamewalazimu zaidi ya watu 3,000 kukimbia vijiji vya Shag Alnom na al-Kordi. Marekani na mashirika ya haki za binadamu yameishutumu RSF kwa uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu, na mauaji y akutiha, Wanajeshi wake wamehusika na uporaji wa nguvu katika maeneo waliyoyateka kote nchini

====

A group of human rights lawyers in Sudan have accused the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) of raiding and setting fire to villages in the state of North Kordofan and killing nearly 300 people, including children and pregnant women.

The statement by Emergency Lawyers late on Monday came as fighting rages between the RSF and the Sudanese army in the western areas of the country

The two sides have been locked in a civil war since 2023, and the army has taken firm control of the centre and east of the country, while the RSF is trying to consolidate its control of the western regions, including North Kordofan and Darfur.

Emergency Lawyers said the RSF had attacked several villages on Saturday around the city of Bara, which the paramilitary force controls.

In one village, Shag Alnom, more than 200 people were killed in a “terrible massacre”, the group said. The victims were either “burned inside their homes” or shot. In the neighbouring villages, 38 other civilians were also killed and dozens more have been forcibly disappeared.

The next day, the RSF carried out “another massacre” in the village of Hilat Hamid, killing at least 46 people, including pregnant women and children, the group added.

“It has been proven that these targeted villages were completely empty of any military objectives, which makes clear the criminal nature of these crimes carried out in complete disregard of international humanitarian law,” Emergency Lawyers said, placing the responsibility with the RSF leadership

The United Nations’ International Organization for Migration (IOM) said on Sunday that intensified fighting in the region forced more than 3,000 people to flee the villages of Shag Alnom and al-Kordi

Many have sought refuge in the surrounding parts of Bara, according to the UN agency

The United States and human rights groups have accused the RSF of war crimes, crimes against humanity, and genocide. Its soldiers have carried out a series of violent looting raids in territory it has taken control of across the country.

The RSF leadership says it will bring those found responsible for such acts to justice.

Sudan’s civil war has created the world’s largest humanitarian crisis, driving more than half the population into hunger and spreading disease, including cholera, across the country.

At least 40,000 people have been killed, while 13 million have been displaced.

The International Criminal Court (ICC) has launched a new probe into war crimes in the western Darfur region, and on Thursday, senior prosecutor Nazhat Shameem Khan told the UN Security Council that her office has “reasonable grounds to believe that war crimes and crimes against humanity” are being committed there.

Khan said her office has focused its probe on crimes committed in West Darfur, and interviewed victims who have fled to neighbouring Chad.

She said the depth of suffering and the humanitarian crisis in Darfur “has reached an intolerable state”, with famine escalating and hospitals, humanitarian convoys and other civilian infrastructure being targeted.

“People are being deprived of water and food , Rape and sexual violence are being weaponised,” Khan said, adding that abductions for ransom had become “common practice”

Source: Ajazeera​
Yale mazwazwa utasikia free Palestine
 
Aliyeanzisha uislam alipaswa kushitakiwa na kunyongwa. Halafu watakuambia wanafunga sijui mwezi mtukufu na kuswali sala tano. Mjamzito unampasua tumbo ?? Vichanga unavitundika kwenye miti.
Acha USENGE hizi vita sio za kidini ni za kugombania madaraka.
South Sudan nao wakristo mbona walipigana hadi wakaunda serikali mseto ya amani?
Ni UPUMBAVU kuegemea kwenye dini.
Hizo ni vita za madaraka sio dini.
 
Back
Top Bottom