Ulianza kama utani, sasa ni "rasmi" daladala zinazopitia Stend ya zamani zinafaulisha watu hapo stend. Notably ni za Raskazoni -Mwahako-Mchukuuni.
Haziendi kabisa Raskazoni, zinaishia stend na kutesa watu maana inabidi ulipe nauli mara mbili au wakikufaulisha ni kuwasukumiza kwenye magari yaliyojaa.
Mfano za Mwahako completely haziendi Raskazponi/ Bombo na hivyo watu walio Bombo/ Raskazoni wanaokwenda Mwahako/ Mchukuuni wanalipa nauli mara mbili. Anapanda zingine anakuja stend , then anapata za Mwahako.
Tusaidie kukomesha uhalifu huu.