RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU) wajiandaa kwa Mahafali mvua yatishia Majoho!

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU) wajiandaa kwa Mahafali mvua yatishia Majoho!

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2021
Posts
5,476
Reaction score
11,393
Salama wakuu Leo hii tarehe 21 November.

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY hapo Iringa Wana jambo Lao pale, graduation ya kukata na shoka sasa kwa bahati mbaya kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha naona kabisa shughuli kuharibika.

Band maarufu kutoka Los Angels Marekani inayopiga mziki wa Hard rock.

Yakuitwa Guns N' Roses iliachia kibao maarufu cha kuitwa November Rain ambacho kwa mimi naona ni utabiri kwa siku ya leo yaani siku ya mahafari mvua inajiachia aaah.

Tunaomba mvua iwafanyie wepesi majoho yasiloe!

hqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom