kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Kuna tetesi nimezipata jana hapa mkoani Iringa kutoka kwa wadau wa jirani kabisa wa chuo kikuu cha Ruaha kilichopo mkoani Iringa ambacho ni branch ya SAUT. Inasemekana kua katika mwaka ujao wa masomo 2011/2012 wanaanzisha Phd ya Sheria. Hapo wadau tunaonaje.
Nakaribisha michango yenu
Nakaribisha michango yenu