msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Usiwe unaongelea watu ambao hata nyumbani walipasahauMkuu acha tu wajenge kwao,nipo Butiama jioni hii,nimetoka kumuagiza boda maziwa mtindi boda kaniambia huwezi kupata,nimeenda mwenyewe kutafuta,Hakuna duka linalouza mtindi butiama.Naongelea maziwa mtindi guys,Butiama inasikitisha sana.Acha viongozi wajenge kwao.