#COVID19 Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

#COVID19 Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.

Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona.

Source : Mwanahalisi twitter

======

My take
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu ambao hawajachukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona wakati huu wa wave 3 ya Corona ambayo ni hatari sana na Serikali hiyohiyo tayari ilishapiga marufuku mikusanyiko yote.

RnbX.jpg
 
Ulitaka awachape bakora? Msitake kuipa majukumu serikali ya ziada sasa.
 
Ulitaka awachape bakora?Msitake kuipa majukumu serikali ya ziada sasa.
Serikali imepiga marufuku mikusanyiko halafu waowao serikali wanakusanya watu.Wewe unaona kuwa hii inamake sense?

E7DxTFqXIAUDuci.jpg
 
Ulitaka awachape bakora?Msitake kuipa majukumu serikali ya ziada sasa.
Huyu ni Mwigulu anakusanya watu huko Tunduma bila ya kuchukua tahadhari yoyote ile,does this make any sense?

2858532_20210726_15383261501.jpg
 
Back
Top Bottom