Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.
Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona.
Source : Mwanahalisi twitter
======
My take
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu ambao hawajachukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona wakati huu wa wave 3 ya Corona ambayo ni hatari sana na Serikali hiyohiyo tayari ilishapiga marufuku mikusanyiko yote.
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu ambao hawajachukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona na Serikali hiyohiyo tayari ilishapiga marufuku mikusanyiko yote.