DOKEZO Ruangwa: Miradi mingi iliyozinduliwa na Mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa.

Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa.

Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii imetelekezwa na Wazabuni na kwa kuwa ipo pembezoni mwa mji inakuwa ngumu kufuatiliwa na kuonwa na viongozi.

Nashauri mradi wowote unaowekwa Jiwe la Msingi na kiongozi yeyote mwaka unaofuta uzinduliwe.

Pia, wakaguzi wa miradi kutoka Mkoani, Taifani na kwingineko wanyooke moja kwa moja kwenye mradi ndiyo waende ofisi ya mkurugenzi ili kuepuka "Kuandaa mazingira yankufunikanfunika mambo"

Wakurugenzi wengi wanahukumu miradi kwa kutaka chochote kitu kutoka kwa Mkandarasi/Mzabuni ndiyo maana wanashindwa kuwachukulia hatua wanaposhindwa kumaliza miradi waliyokabidhiwa
 
Ondoa shaka Kila mwaka Mwenge wa uhuru huitaji taarifa ya mwendelezo wa Miradi iliyopitiwa na Mwenge Kwa mwaka uliopita. Picha za rangi za kabla na baada ya Mwenge pamoja na Taarifa.
 
Back
Top Bottom