DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi na Mkurugenzi wa Ruangwa Pride Hotel, Mparuka Hashim Mtopela amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Ruangwa.
Soma,Pia: Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa 'Asanteni Ruangwa'
Mparuka amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM wilaya ya Ruangwa, Abas Mkweta.
Hatua hii imekuja baada ya Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kuripotiwa kuwa amepumzika Ubunge.

Chanzo: Jambo Tv