Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Wachimbaji hao wamesema hiyo ni sehemu ya shukrani kwa Rais na Mbunge wao, ambapo jumla ya zaidi ya Milioni sita zimetolewa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wachimbaji wamesema Milioni nne kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Milioni mbili kwa ajili ya fomu ya Ubunge kwa Mbunge wao wa Ruangwa Kassim Majaliwa.