Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Stop this shitUmoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
View attachment 3324530
Wachimbaji hao wamesema hiyo ni sehemu ya shukrani kwa Rais na Mbunge wao, ambapo jumla ya zaidi ya Milioni sita zimetolewa.
Wachimbaji wamesema Milioni nne kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Milioni mbili kwa ajili ya fomu ya Ubunge kwa Mbunge wao wa Ruangwa Kassim Majaliwa.
Kwa umri uliofikia umewahi kujua au kusikia kitu kinachoitwa njaa?Mh Majaliwa hagombei tena Maana Amemaliza miaka 10 ya Uwaziri Mkuu.
Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
View attachment 3324530
Wachimbaji hao wamesema hiyo ni sehemu ya shukrani kwa Rais na Mbunge wao, ambapo jumla ya zaidi ya Milioni sita zimetolewa.
Wachimbaji wamesema Milioni nne kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Milioni mbili kwa ajili ya fomu ya Ubunge kwa Mbunge wao wa Ruangwa Kassim Majaliwa.
well done wananchi wazalendo wa Jimbo la Ruangwa,Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
View attachment 3324530
Wachimbaji hao wamesema hiyo ni sehemu ya shukrani kwa Rais na Mbunge wao, ambapo jumla ya zaidi ya Milioni sita zimetolewa.
Wachimbaji wamesema Milioni nne kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Milioni mbili kwa ajili ya fomu ya Ubunge kwa Mbunge wao wa Ruangwa Kassim Majaliwa.
Wananchi wenyeweUmoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
View attachment 3324530
Wachimbaji hao wamesema hiyo ni sehemu ya shukrani kwa Rais na Mbunge wao, ambapo jumla ya zaidi ya Milioni sita zimetolewa.
Wachimbaji wamesema Milioni nne kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Milioni mbili kwa ajili ya fomu ya Ubunge kwa Mbunge wao wa Ruangwa Kassim Majaliwa.
Watu masikini wanakuwaga wajinga sn sijui kwaniniWananchi wenyeweView attachment 3324563
Ni mtu wa Ijumaa ataendelea na nafasi akeAnataka kuwa Backbencher Bunge lijalo
Katiba haijasema hivyo lakini angeona busara kuachia ngazi, ana zaidi ya miaka 60 huku akita vijana waende VETA yeye aendelee kupiga pesa za bureMh Majaliwa hagombei tena Maana Amemaliza miaka 10 ya Uwaziri Mkuu.