PreGE2025 Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Fomu ya uraisi ishafikisha pesa ngapi mpaka sasa aisee- inatosha
 
Hayo ni maigizo ya kijinga mno. Yatapita
 
Maigizo yanaendelea
 
Kwa umri uliofikia umewahi kujua au kusikia kitu kinachoitwa njaa?

Mwanasiasa hasa hawa wa Kitanzania na njaa utawatenganishaje?
Ukisha kuwa waziri Mkuu Umefukia ukomo kwa Awamu 2 Yaani miaka 10.

Mh Sumaye 10
Mizengo pinda 10
Mh Majaliwa 10

Wanaenda kula Pensheni kaka. Labda waje wagombee Nafasi ya Urais ndio nafasi Pekee ya juu kabisa ikitokea.
 
Kwani waziri mkuu akishastaafu si kuna fungu lake anakuwa anapatiwa mpaka kifo au huyu anataka ubunge akafanye ajabu gani ambayo kashindwa kufanya kipindi chote alichowatumikia wananchi?
Au aende VETA.
 
Kwani jamaa ataendelea na wadhifa wake baada ya miaka 10 ya kuwa incharge?
 
Elimu inahitajina kwenye nchi yangu ya Tanzania, somo la uraia linatakiwa kuboreshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…