PreGE2025 Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia kaisha pitishwa na CCM sasa form ya nn?
Ruangwa safari hii Diblo hapiti bila kupingwa,ajiandae tu
 
Majaliwa huyo ,kagonga miaka 10 ya Ubunge, na bado anataka Ubunge
Majaliwa kawa Mbunge mwaka 2008 nadhani kufuatia kifo cha Mbunge wa Ruangwa hayati Ng’itu kisha kuanza mwaka 2010 hadi sasa ni Mbunge wa Ruangwa.
Atakua PM tena 2025?
 
Halafu hata vifaa vya kujiopolea kwenye mashimo ni shida hapo huomba wanunuliwe, akili nzito.
 
WANAFIKI NA WAJINGA
 
Waambiwe kabisa kuwa:- NO REFORMS NO ELECTION
 
Hizo hela katoa Kiswaswadu mwenyewe.
 
Wewe utakuwa mjinga, kuna rais wa nchi gani ni masikini?
UWT hamnaga akili, Nyerere amekufa hana ghorofa lolote wala gari ama fedha bank zaidi ya nyumba zake (2) za kawaida ambazo hata mimi mgambo naweza kuzijenga, haya waliomfuata huoni walivyo matajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…