Space x wadaifidia kwa kuchafuliwa.View attachment 3477771
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika vifungashio bandia vya "SpaceX". Clark ndiye aliyekuwa peke yake ndani ya ndege hiyo na alifariki papo hapo.
Deal failed! Accused dead!View attachment 3477771
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika vifungashio bandia vya "SpaceX". Clark ndiye aliyekuwa peke yake ndani ya ndege hiyo na alifariki papo hapo.
Ajali kazini analisha ukoo mzima kwa kazi hio hio hapo kuna watoto wanaenda kutaabika sababu ya kifo cha Mzee wao mtafutaji, get rich or die tryingDeal failed! Accused dead!