Marehemu ni Kaka Yangu na Kaka zangu Wengine waliokwenda London kumzika Leo wamegunduwa vitu vingi saaana ikiwemo baadhi ya Abiria kufoji Madical Report Kama wameshapimwa COVID 19 Marehemu Nilipoongea nae aliondoka Nairobi akiwa mzima hata Screen test alifanyiwa yeye na cabin crew wake wote Kabla ya ku board.
Isitoshe ndio ilikuwa birthday yake walimzawadia Cake Asubuhi ya Jumamosi alipofika London Heathrow Ndio shida ikaongezeka akapelekwa hospital kwa ambulance alipopimwa akagundulika ameshaathirika vibaya na Covid 19
View attachment 1641191View attachment 1641192