Ruben Dias awa mchezaji bora ya msimu epl 2020/2021

Kawauzia kombe Chelsea makusudi.
Bado unateseka tu?! Punguza kubet mikeka ya gharama kubwa. Jilaani mwenyewe kwa ujinga wako wa kukosa umakini katika kutandaza mikeka yako huku ukiweka dau nene, badala ya kumlaani Pep.

Unafikiri wewe unalipenda kombe la UCL kuliko anavyolipenda Pep?

Unafikiri unalijua soka kulicheza, kulifundisha, kulichambua na kuliundia mbinu kuliko Pep?

Punguza ujuha mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…