tc_edo
Senior Member
- Apr 9, 2021
- 123
- 98
- Thread starter
- #21
Kangalie tena ndugu anguMbona ni KDB
Au angalia hii picha apa chini
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kangalie tena ndugu anguMbona ni KDB
Acheni kulia lia, hakuna cha Gurdiola kuharibu wala nini. The best team won, and Chelsea was the best that night.Yani akaamua kuingia bila CDM.. Yani gurdiola bhanaa
Fernandinho alivyoingia alipunguza kasi ya zile counter kabisa
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Bado unateseka tu?! Punguza kubet mikeka ya gharama kubwa. Jilaani mwenyewe kwa ujinga wako wa kukosa umakini katika kutandaza mikeka yako huku ukiweka dau nene, badala ya kumlaani Pep.Kawauzia kombe Chelsea makusudi.
Kwahiyo mkuu nawe unaukubali huo utaahira kuwa Pep aliuza kombe makusudi?
[emoji23][emoji23] kabisa! Kuna majuha humu hawaangalii hata takwimu zinasemaje, wao kisa mikeka yao ya kishabiki ilichanika basi wanamlaani Guardiola kauza mechi!Chelsea tangu aje Tuchel kamfanya Man City mke wake halali