Ruby ampa za uso Diva

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Baada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto

"Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi huo ni utoto labda tu kwa kukosa maswali ya interview aliyohojiwan ,i dont want to talk about her "

Inasemekana kwa habari zilizo chini ya kapeti ya kuwa ugomvi wa diva na ruby ni mara baada ya ruby kutokuwa na mawasiliano mazuri na clouds media na kushindwa kuhudhuria tamasha la fiesta lililofanyika mwanza August 20.
 
Homie is right for once in his life!
hahaha!!
 
Diva ana sauti nzuri sana, very romantic , sijui akiwa Kwa bed yukoje? But real she sound very romantic, I wish I could have you Diva in my bed [emoji39][emoji39]. My advise Is Plz Diva unayo heshima kubwa tu, same as Ruby, fanyeni kazi zenu, don't waste your time for nothing, Ruby is very talented gal, beautiful voice, very nice at stage, I love her, Ruby!!! Plz ladies live your life. It's better to find solutions of your problems than making problems to other people. Live your Life Ruby & Diva
 
diva the boksi anapenda sana attention huyo dada. nakumbuka fb mpk walifunguaga page ya watu wasiompenda diva.
ambao hamumjui diva tafuten video ya wimbo wa Joanita-Pingu & Deso ft Blu, video queen wa mule ndio dada yetu diva a.k.a joanita kabla hajanywa maji na maendeleo ya simu zenye 720 na maeditings kibao.
 
Nakachukiaga hako ka Diva Mungu nisamehe too much mashauzi
 
kutokana na ishu ya fiesta na nyimbo za Ruby ndio hazitachezwa tena clouds?
 
huyu demu c ndo yule aliekuwa video queen wa ile nyimbo ya pingu na denso ft mr blue??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…