haahaha eti mawinguToka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahaha eti mawinguToka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point
Kaka tupiamo hiyo video clip tumjuwemo huyo divaaaa....wengine tunasikia sauti tuuhuyu demu c ndo yule aliekuwa video queen wa ile nyimbo ya pingu na denso ft mr blue??
Heeeeeeee aiseee so kwa kujichuna uko.
Kuna mdau kashaweka picha yake hapo juu.I hate her although najua sauti tu hata picha sijawahi muona
Ni huyo hapo juu
Diva maana yake nini....??
Consider her self more important than others .....!! Basi mjinga
Sa mbona ka umemtukana huyu Diva kijanja!?
Hapana mie nimeenda kudesa maana ya diva sababu mkuu aliulizaSa mbona ka umemtukana huyu Diva kijanja!?
HahahahaToka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point